teewinyou985's Pocket on
Profile picture
teewinyou985
Loading...
Katika ripoti yake aliyowasilisha kwenye mkutano wa 52 wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu Bwana Quinn amesema mifumo hiyo iambatane na sauti zao kujumuishwa kwenye sera na huduma. “Kuna umuhimu wa kuandaa filosofia mpya ya huduma na usaidizi kwa watu wenye ulemavu. #ifttt #twitter